SMZ
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar

Tume ya Kurekebisha Sheria Zanzibar

SMZ

Kitengo Cha Utafiti


Kitengo hichi kimekijikita na tafiti za Kisheria na kina Majukumu haya yafuatayo:
  1. 1.) Kutafiti sheria kuu mpya na za zamani kutokana na mabadiliko ya sheria husika yaliyofanywa.
  2. 2.) Kufanya tathimini ya sheria zilizopo na mahitaji yake kulingana na wakati.
  3. 3.) Kuweka “Database” ya sheria na taarifa zote za utafiti za Tume.
  4. 4.) Kufuatilia maelekezo na miongozo itakayopelekea marekebisho ya sheria..
  5. 5.) Kubuni na kushauri njia ya utekelezaji wa sheria husika.
  6. 6.) Kusimamia uchapishaji wa sheria zilizorekebishwa kwa mpangilio unaokubalika ndani ya vitabu vya sheria.
  7. 7.) Kusimamia kazi za kurahisisha na kutafsiri sheria katika lugha ya Kiswahili.
  8. 8.) Kufuatilia maamuzi ya Mahkama za juu, ili kubaini kama kuna maamuzi yanayohitaji kuzingatiwa katika mapitio ya sheria.
  9. 9.) Kufuatilia miongozo iliyopo ya shughuli za Tume.