Wafanyakazi wa Tume ya Kurekebisha Sheria Zanzibar katika picha ya pamoja baada ya kumaliza Mafunzo ya Kufanya Utafiti Yaliyofanyika Ukumbi wa Maruhubi.
Kikao na wadau wa Sheria ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kuhusina na Sheria Nam 11 ya Mwaka 2003 katika Ukumbi wa Afisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Zanzibar
Picha ya pamoja kati ya Viongozi wa Tume ya Kurekebisha Sheria Zanzibar na Taasisi ya International Republic Institute (IRI)
Mwenyekiti wa Tume ya kurekebisha Sheria Zanzibar akiwa katika picha ya Pamoja na Mjumbe wa Taasisi ya IRI