Tume ya Kurekebisha Sheria Zanzibar katika kufikisha elimu ya Sheria kwa Jamii ya watu wa Zanzibar na Tanzania kwa Ujumla, inaendelea kufanya juhudi za kufikisha elimu hiyo ya Sheria kwa kutoa matoleo mbali mbali ya Majarida yenye lengo la kuelimisha Jamii. Kupitia ukurasa huu utaweza kupakuwa "Download" majarida hayo yaliyoandaliwa;