SMZ
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar

Tume ya Kurekebisha Sheria Zanzibar

SMZ

Mapitio na Tafiti za Sheria yaliyokamilika


Tume ya kurekebisha Sheria Zanzibar katika kutekeleza kazi zake za kila siku za Mapitio na Tafiti imefanikiwa kukamilisha Tafiti na Mapitio kama Ifuatatvyo.

Nam. Jina la Taasisi/Wizara Sheria Husika /Eneo la Utafiti Mwezi/Mwaka Iliyopokelewa Pakua Ripoti
1. Idara ya Maendeleo ya Uvuvi na Mazao ya Baharini - Zanzibar [OR] Uchumi wa Buluu Sheria ya Uvuvi Nam. 7 ya Mwaka 2010 Januari - 2022 Imeshatoka
2. [OR] Fedha na Mipango - Zanzibar Sheria ya Fedha Haramu Nam 10 ya 2009. Januari 2022 Imeshatoka
3. [0R] Katiba , Sheria,Utumishi na Utawala Bora - Zanzibar Sheria ya Rushwa na Uhujumu Uchumi Nam. 12 ya 2019 Febuari 2022 Imeshatoka
4. [OR] Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora - Zanzibar Sheria ya Serikali Mtandao (e-Government) Nam 12 ya 2019 Febuari - 2022 Imeshatoka
5. [OR] Kazi, Uchumi na Uwekezaji - zanzibar Sheria ya Fidia kwa Wafanyakazi Nam. 15 ya Mwaka 1986 Machi - 2022 Imeshatoka
6. Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Mali asili na Mifugo - zanzibar Mapendekezo ya Kuwanzishwa Sheria ya Usimamizi wa Mbegu Zanzibar Machi - 2022 Imeshatoka
7. Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda - Zanzibar Sheria ya Leseni Nam. 3 ya Mwaka 1983 Aprili - 2022 Imeshatoka
8. Afisi ya Makamo wa Pili wa Raisi - Zanzibar Sheria ya Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo Nam. 4 ya Mwaka 2012 Aprili - 2022 Imeshatoka
9. Afisi ya Makamo wa Kwanza wa Raisi - Zanzibar Sheria ya Usimamizi wa Mazingira Nam. 3 ya Mwaka 2015 Mei - 2022 Imeshatoka
10. [OR] Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora- Zanzibar Sheria ya Njia Mbadala ya Usuluhishaji wa Migogoro Sura 25 Juni - 2022 Imeshatoka
11. [OR] Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora - Zanzibar Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma -Zanzibar Nam. 4 ya 2015 Juni - 2022 Imeshatoka
12. Wizara ya Afya - Zanzibar Utafiti wa Usimamizi wa Bohari na Dawa Zanzibar Septemba - 2022 Imeshatoka
13. [OR] Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora - Zanzibar Utafiti wa Eneo la Uwajibikaji kwa Jamii -(CSR) Septemba - 2022 Imeshatoka
14. Wizara ya Nchi Afisi ya Makamu wa Pili wa Raisi - Zanzibar Sheria ya Vyama vya Siasa na Uchaguzi Oktoba - 2022 Imeshatoka
15. Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji,Mali asili na Mifugo - Zanzibar Sheria ya Ulinzi wa Mimea -Zanzibar Nam. 9 ya Mwaka 1997 Oktoba - 2022 Imeshatoka
16. Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi - Zanzibar Sheria (Uchimbaji na Utafutaji) Mafuta na Gesi Nam. 6 ya Mwaka 2016 (Kujumuisha Mkondo wa Kati na Nchi) Oktoba - 2022 Imeshatoka
17. [OR] Fedha na Mipango - Zanzibar Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha (Microfinance Act) Juni - 2021 Imeshatoka
18. [OR] Fedha na Mipango - Zanzibar Sheria ya Taasisi ya Wahasibu, Wakaguzi wa Hesabu na Washauri Wahasibu, Wkaguzi wa Kodi Julai - 2021 Imeshatoka
19. [OR] Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora - Zanzibar Sheria ya Utumishi wa Umma Nam. 2 Ya Mwaka 2011 Julai - 2021 Imeshatoka
20. Afisi ya Makamo wa Kwanza wa Raisi - Zanzibar Sheria ya Utumishi wa Umma Nam. 9 ya Mwaka 2009 Agosti - 2021 Imeshatoka
21. [OR] Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora - Zanzibar Sheria ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Nam. 11 ya Mwaka 2003 Agosti - 2021 Imeshatoka
22. [OR] Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ - Zanzibar Sheria ya Asasi za Kiraiya Nam. 6 ya Mwaka 1995 (NGO) Septemba - 2021 Imeshatoka
23. Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale - Zanzibar Sheria ya Jeshi la Ulinzi la Utalii Novemba - 2021 Imeshatoka
24. Afisi ya Makamo wa Pili wa Raisi (Baraza la Wawakilishi) - Zanzibar Sheria ya Kinga Novemba - 2021 Imeshatoka
25. Wizara ya Ardhi Nyumba na Makaazi - Zanzibar Sheria ya Migogoro ya Ardhi Novemba - 2021 Imeshatoka
27. [OR] Fedha na Mipango - Zanzibar Sheria ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (Kikokotoo) Novemba - 2021 Imeshatoka
Tanzania Census 2022