Tume ya kurekebisha Sheria Zanzibar katika kutekeleza kazi zake za kila siku za Mapitio na Tafiti bado kufanya Tafiti na Mapitio katika maeneo yafuatayo.
Nam. | Jina la Taasisi/Wizara | Sheria Husika /Eneo la Utafiti | Mwezi/Mwaka Iliyopokelewa |
---|---|---|---|
1. | Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali - Zanzibar | Sheria ya Elimu Nam. 4 ya Mwaka 1982 | - 2022 |
2. | Sheria ya Watoto Nam. 6 ya Mwaka 2011 | 2022 | |
3. | Sheria ya Shirika la Utangazaji - Zanzibar | 2022 |