SMZ
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar

Tume ya Kurekebisha Sheria Zanzibar

SMZ

Mapitio yanayoendelea


Tume ya Kurekebisha Sheria Zanzibar inafanya mapitio na kupendekeza Sheria za Zanzibar kwa kuzingatia tafiti, mipango ya kitaifa na mazingira ya Zanzibar, na kwasasa Tume ipo katika mapitio yafuatayo:
Nam. Mapitio/Mapendekezo
1. Kukuza Uwekezaji Zanzibar
2. Mapitio ya Sheria za Uchumi wa Bluu
3. Mapitio ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar.
4. Mapitio ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (Mpango wa Pensheni).
5. Usuluhishi wa Migogoro ya Ardhi (Land Dispute Settlement).
6. Ulinzi wa Wanawake na Wajane
7. Sheria za Kilimo
8. Sheria ya watoto